kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,359
- 2,789
ukitaka kuishi vizuri hapa duniani,achana na wake za watu,dhuluma,wizi,utapeli,ushirikina na"ogopa sana SERIKALI' ukiweza kuwepa izo mamboutaishi masha marefu sana,,, kwepa sana kupanda bodaboda na kunywa pombe kali!!Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Nna hakika Ngwajima ataibuka na ushindi mkubwa sana in all perspectives including spiritual and physical ,yaan madui zake najua watasambaratishwq wawe hoi bin taabanDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Faili la yule mtekaji wa uvccm wa Kagera aliyesema mtu alipotea polis wasiangaike kumtafuta?Wachache tuna faili lake kuhusu anayoongea ni tofauti na anayotaka kuyatekeleza. Gwajima ni mhaini mwingine baada ya Lissu.