Wanataaluma (UDASA) wamelala fo fo fo!

Wanataaluma (UDASA) wamelala fo fo fo!

Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani
NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
Sahv wanakata mauno tu huko
Wanaomba wapelekewe matamasha
Ya wasanii tu

Ova
 
Kwani nchi hii wewe wewe inakuuma nini! Kwanza haumo kwenye list ya watu wanao miliki hii nchi, walamba asali, wewe unalilia hii nchi, Makamba afanye nini???
Unapiga kelele, husikilizwi, kea nini uendelee kupiga kelele?
Sikia; 1: Nusu ya baraza la mawaziri Wana Elimu ya mchongo
2: 85% ya Wabunge ni STD 7
3: 99% ya madiwani Wana Elimu ya kujua kusoma na kuandika,
Sasa msomi anapotoa critecal argument, chawa hawatakuacha, watasema unapiga Serikali.
Nikukumbishe" Never argue with stupid people they will let you down, and beat you with their experience" kwa nini ujitaabishe
 
Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani
NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.

Hao wamelewa asali waliyokunywa, sio wamelamba!!
 
Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani
NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
Hao jamaa hawana muda
 
Back
Top Bottom