Kwani nchi hii wewe wewe inakuuma nini! Kwanza haumo kwenye list ya watu wanao miliki hii nchi, walamba asali, wewe unalilia hii nchi, Makamba afanye nini???
Unapiga kelele, husikilizwi, kea nini uendelee kupiga kelele?
Sikia; 1: Nusu ya baraza la mawaziri Wana Elimu ya mchongo
2: 85% ya Wabunge ni STD 7
3: 99% ya madiwani Wana Elimu ya kujua kusoma na kuandika,
Sasa msomi anapotoa critecal argument, chawa hawatakuacha, watasema unapiga Serikali.
Nikukumbishe" Never argue with stupid people they will let you down, and beat you with their experience" kwa nini ujitaabishe