Location: Dar es salaam mjini kabisaa
Siku za kazi: 6 kwa wiki
Kazi kuanza: hata kesho kwa anayestahili
Pia kuna nafasi za kulala kwa wahudumu wa kike.
Yeyote aliye serious au mwenye mtu atafutae kazi kama hizi ani pm niweze muelekeza namna ya kufanikisha mawasiliano zaidi..