Wanatafutwa walimu wa lugha za kimataifa - arusha

Elimu

New Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Tunahitaji walimu wa kufundisha lugha za kimataifa (isipokuwa Kiingereza) kwenye darasa la lugha hapa Arusha. Ikiwa una uzoefu wasiliana nasi kupitia JF au tupigie simu 0786817145. Tunahitaji hasa walimu wa Kijerumani, Kirusi, Kihispaniola na Kichina.
 

ebwana sasa kwa hizi lugha kwa mfano kama kijerumani mkipata mjerumani mwenyewe mnaweza kumwajiri?
yuko flexible kufanya kazi africa.
 

Malipo na marupurupu yakoje?
 
KAINGIA lile msitu linaitw PANDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Bora hili tangazo likawekwa wazi zaidi, kwa mfano:
1. Sifa za mwombaji
a. Elimu
b. Sifaa ziada
2. Majukumu ya kazi
3. Mshahara
4. Muda wa mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…