Wanatafutwa wasimamizi wawili wa Call Centre

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
107
Reaction score
65
Wadau natafuta msimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo

1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi
3. Kusimamia na kuongoza vikao vya kila siku vya asubuhi na mchana kuhusu mwenendo wa kazi
4. Kutoa ripoti ya SIKU, WIKI na MWEZI juu ya mwenendo wa upigaji simu

Sifa za Msimamizi tunayemtaka
1. Awe ana uwezo wa kusimamia na kuongoza timu kwa umakini na ukamilifu'
2. Awe ana uwezo wa kuwajibisha watendaji wazembe
3. Awe ana uzoefu wa kusimamia timu za Namna hii

Kituo cha kazi ni Kimara na Kigamboni DSM
Kwa anayehitahi kazi hii wasiliana nasi kwa barua pepe thejoegrouptz@gmail.com ukitutumia nyaraka zako. Mwisho wa maombi ni Jumatatu tarehe 05/08
 
kupiga simu kwa wateja gani mbna ufafanui, tangazo linatakiwa kuwa wazi unawapigia simu wateja wa namna gani kama ni mikopo ya online kazi ipo
 
Wadau natafuta msimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo

1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi
3. Kusimamia na kuongoza vikao vya kila siku vya asubuhi na mchana kuhusu mwenendo wa kazi
4. Kutoa ripoti ya SIKU, WIKI na MWEZI juu ya mwenendo wa upigaji simu

Sifa za Msimamizi tunayemtaka
1. Awe ana uwezo wa kusimamia na kuongoza timu kwa umakini na ukamilifu'
2. Awe ana uwezo wa kuwajibisha watendaji wazembe
3. Awe ana uzoefu wa kusimamia timu za Namna hii

Kituo cha kazi ni Kimara na Kigamboni DSM
Kwa anayehitahi kazi hii wasiliana nasi kwa barua pepe thejoegrouptz@gmail.com ukitutumia nyaraka zako. Mwisho wa maombi ni Jumatatu tarehe 05/08
Mikopo Online bila shaka, ongezea sifa nyingine uwe na kauli mbovu, na kutusi
 
Back
Top Bottom