Wanataka kumwondoa Mwenyekiti wa Mtaa, Hatua ni zipi?

Wanataka kumwondoa Mwenyekiti wa Mtaa, Hatua ni zipi?

Emashi

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
138
Reaction score
26
Wamemchagua mwenyekiti wao wa mtaa, Lakini sasa, wameamua Kumwondoa kiongozi huyu asiyewajibika! Je wafuate taratibu zipi na ni sababu zipi zinazoweza kumwondoa kiongozi wa Kitongoji/mtaa madarakani?
 
Back
Top Bottom