E Emashi Senior Member Joined May 24, 2012 Posts 138 Reaction score 26 Nov 16, 2012 #1 Wamemchagua mwenyekiti wao wa mtaa, Lakini sasa, wameamua Kumwondoa kiongozi huyu asiyewajibika! Je wafuate taratibu zipi na ni sababu zipi zinazoweza kumwondoa kiongozi wa Kitongoji/mtaa madarakani?
Wamemchagua mwenyekiti wao wa mtaa, Lakini sasa, wameamua Kumwondoa kiongozi huyu asiyewajibika! Je wafuate taratibu zipi na ni sababu zipi zinazoweza kumwondoa kiongozi wa Kitongoji/mtaa madarakani?