Naomba ushauri na msaada wa kisheria nimenasa audio ya watu wawili wakipanga jinsi ya kutafuta hati ya kiwanja changu.kwa sasa kiwanja hakina hati. nataka niwashtaki je nitafanikiwa na pia hii imekaaje kisheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.