Wanasheria waliopo jf wanaaibisha sana..... hata kupita humu nehiiii ila ungetangaza tenda wangekwambia wafuate pm
Mkuu tafuta mwanasheria fasta akusaidie. Au polisi ambao wafahamiana nao maana hata ikienda nao polisi kichwakichwa wanaweza kukuzidi maarifa...
Na uhifadhi nakala ya hayo mazungumzo huwezi kujua ya kesho.
Meanwhile ndio ianze mchakato wa kupima sasa