Wanatakiwa haraka sana watu wenye sifa zilizotajwa kwenye mada hapo juu. Maelezo ya ziada ni:
- Awe amemaliza chuo au college katika fani hizo.
- Awe mkazi wa IRINGA, MBEYA, MTWARA na MWANZA
- Si lazima uzoefu kwani mafunzo ya kazi yatatolewa.
- Anayehitaji awasiliane kwa PM na View Profile: Mamushka - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Kwanini mtu aku PM weka mambo hadharani kwa kuweka kila kitu bayana!
Mkuu, asante kwa ushauri wako, lakini mimi sio muhusika mkuu. Niliona ujumbe pahali nikaona niuweke hapa ili ikiwa wako wanaohitaji wafuatie maelekezo na wafuatilie kwa mhusika.Kwanini mtu aku PM weka mambo hadharani kwa kuweka kila kitu bayana!
- Anayehitaji awasiliane kwa PM na View Profile: Mamushka - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
kaka hapo ulipoona hata jina la kampuni hawakukupa aiseh....au hata namba zao za simu...???au njia yeyote ya kuwapata.???kwa sababu hapa hata hatujui tuanzie wapi
toa data full ueleweke....................????
toa data full ueleweke....................????