Ukitumia Sana unakufa mapema zaidi.Ila bado utakufa tu.![emoji276]
Kwenye ufanisi wa kupiga shoo naunga mkono hoja kabisa ni kweliNi kweli hivi vinywaji ni hatari kwa afya ya binadamu. Kuna hizi soda nyeusi ukinywa zinapunguza ufanisi wa kupiga shoo na huondoa usingizi. Ni vinywaji vitamu na laini ila vina madhara mficho, ni bora tu waweke tangazo kwa wanywaji wake kuwa ukinywa sana ni hatari kwa afya yako
Zaman mgonjwa wa moyo tulikariri ni yule mnene, hivohivo presha na kisukar tulidhani wanene ndio wenye hiyo hatari, lakin saizi ata uwe kimbao mbao hayo magonjwa hayachagui.Kwa nilivyo kimbao mbao acha nimnywe tu
Ni kweli hivi vinywaji ni hatari kwa afya ya binadamu. Kuna hizi soda nyeusi ukinywa zinapunguza ufanisi wa kupiga shoo na huondoa usingizi. Ni vinywaji vitamu na laini ila vina madhara mficho, ni bora tu waweke tangazo kwa wanywaji wake kuwa ukinywa sana ni hatari kwa afya yako
Isiwe sababu ya kujiwahisha mapemaIla bado utakufa tu.![emoji276]
Watu wamekariri uraibu ni kwenye vitu hivyo tu kumbe mambo yamebadilika usipojitambua utaendeshwa mpaka utakapoingia kaburini.Ni zinaleta uraibu. Ni kama bangi tu au pombe. Vinywaji hivi ni hatari kuliko bangi.
Wote mtakufa lakini wewe ambae hujali afya kisa kigezo cha utakufa tu, utakufa kifo cha mateso mno, maisha kwako yatakuwa mafupi.Ila bado utakufa tu.![emoji276]