Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu.
Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo.
Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia Scholarships" na kuweka vigezo ambavyo Zaidi ya Asilimia 90 ya wanufaika ni Watoto Wa wenye Uwezo Toka shule Bora Tanzania Zenye miundombinu mizuri Kuliko shule nyingi za Umma.
Tathmini inaonyesha ufadhili Wa wanafunzi Wa kidato Cha Sita Kupitia anachokiita Prof Mkenda Samia Scholarships kimefaidisha Zaidi Watoto Wa Vigogo Kuliko Wanyonge pengine na yatima anaowalilia Bungeni.
Nani asiyejua Kuwa division 2.10 ya kijana Wa mlalahoi Kule Kantalamba ni sawa Na Division one Yenye digiti Moja kama angesoma Shule Bora Zenye walimu wazuri na miundombinu. Asitafute huruma ya wabunge/watanzania Kwa jina la yatima.
Lazima tuseme Kuna tatizo Wizara ya elimu ya Kila waziri Kuja na yake na kuturudisha Nyuma Kwenye elimu Yetu.
Ila Kwa Mara Ya Kwanza Toka Nipate Akili Naona Katibu Mkuu Wa Wizara Na Waziri Wake Wanatofautiana Hadharani Kwenye Jambo Moja Tena Ndani Ya Muda Mfupi.
Iko Hivi
Julai 21, 2022
Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Elimu Dr Francis Michael Alipotembelea Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Alisifia Utendaji Mzuri Unaoakisi Dhamira Ya Kweli Ya Raisi Samia.
Nanukuu.
"Niwapongeze Kwa Kazi Nzuri Mnayoendelea Kuifanya Katika Kuwahudumia Wanafunzi, Wahitaji Na Wanufaika Wa Mikopo Mnaonyesha Kasi Inayotakiwa Na Serikali Ya Awamu Ya Sita Katika Kuwahudumua Wananchi"
Dr Francis Michael
Katibu Mkuu Wizara-Elimu.
Miezi Michache Baadae Waziri Mwenye Dhamana Ya Elimu Anatoa Onyo Kali Kwa Bodi Ya Mikopo Kutokana Na Yanayoitwa Madudu.
Nanukuu
"Bungeni Watu Wanalalamika Sababu, Wanasema Kuna Yatima Hawapewi Mikopo, halafu Watu Wenye Uwezo Wanaopewa Mikopo, Mimi Naunda Kamati Alafu Nisikie Kuna Mtu Anasema Waziri Asiunde Kamati Nitakula Kichwa Cha Mtu "
Profesa Adolf Mkenda
Waziri Wa Elimu
26 Oktoba 2022.
Kwa vile wote ni Wateule Wa Mh Raisi Labda Tume Yake tu Ndio Italeta Ukweli Maana Lazima Kuna Mmoja Katika Wateule Hawa Anasema Kweli ?