Wanatia huruma Kwa kweli!

Hakukuwa na plan ya kujenga BRT kutoka Morocco mpaka Tegta huko? Barabara ya kwanza ikfumuliwa na ujenzi ukaanza? Naona imebadilika na kuwa upanuzi wa barabara uliokwama!

Moro road, wameshatoa mapipa na kuweka taa?

Treni inaanza lini?
Unateseka ukiwa wapi?
 
Tu
Hakukuwa na plan ya kujenga BRT kutoka Morocco mpaka Tegta huko? Barabara ya kwanza ikfumuliwa na ujenzi ukaanza? Naona imebadilika na kuwa upanuzi wa barabara uliokwama!

Moro road, wameshatoa mapipa na kuweka taa?

Treni inaanza lini?
Tuliambiwa tutaletewa mabasi ya kutumia kine za umeme kama huko majuu wacha tusubili.

Na kwa watanzania tulivyo sijui kama tunakumbuka ingawa machawa walipongeza sana
 
Nataka kucheka ila mbavu Sina......uviko haiko tena tuone tutapata Tena fedha wapi
 
Badilikeni punguzeni uchawa hii ni serikali sio mtu sifa zote kwa sisiem
 
Nilichogundua ni kwamba mfalme Juha alikua mshamba sana, hataki ushauri wakati ni zero brain ona sasa mama kamzidi ujanja
Hongera Mama tena Mama wala halali na mafile lakini anafanya maajbu Hongera. Mama na wasaidizi wako
 
SUKUMA GANG
WATAKUFA MIDOMO WAZI
 
Ok kibao gani cha taarabu ungependa kisindikize uzi wako
 
Wamebaki kulialia maisha magumu vitu vinapanda bei. Hakuna siku duniani maisha yamekuwa mepesi, siku zote vitu vinapanda bei. Wanaumia kimya kimya wakisubiri wapate cha kulalamikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…