Wanatufundisha nini??

Wanatufundisha nini??

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Hivi hawa the comedy wa EATV wanaosema amevurugwa baba ako,au amevurugwa shangazi yako,amevurugwa babu yako kuna chochote wanachotufundisha hapo kweli?
 
Kuna aina mbalimbali za usikilizaji/ utazamaji. Sio kila unachosikiliza/ angalia ni cha kujifunza. Ndio maana ikaitwa Comedy, usikaze uso kutegemea kujifunza hapo.
Unaweza nijibu swali lifuatalo, Kuna chochote unachojifunzaga kwenye muvi za Mr. Bean?!
 
lakini mr bean hatumii maneno kama ya akina bambo bwana
 
Watoto wako unategemea wafunndishwe na ze komedy? Kwani wao kina Joti ni waalimu?
hapana hawezi kusema amevurugwa mara baba ako,mara amevurugwa babu yako watoto wetu wanajifunza nn pale?
 
kwa watoto wanafunzwa vizuri na wazazi wao hawawezi kumuona baba yao amevurugwa kwa kuangalia ze comedy,watachukulia ni vichekesho tu.
 
Back
Top Bottom