Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
sasa ukiwakataza wenzio...watakua hawakuelewi...naamin umekua muelewa. Vizuri uwatajie mapungufu ulioyaona ili nao wajifunze.
Mdogo wangu alintumia film 1 ya kibongo nilimshauri wakitaka films ntakua nawaagizia kutoka huku. Maana sikuwa naenjoy ila nlikua na hasira...unajua kulazimisha kitu usichokiweza bora ufanye ulicho kiweza/kukizoea.
Wanapozinunua kwa wingi....ndivyo wanavyozidi kutoa ...!kweli wanaboa,siyo part 1&2 tu hata story zao hazina mana,tz kuna mambo mengi yenye mtiririko wa story nzuri si mpnz tu.
Zinaniboa, yaani Watanzania wamekosa vitu vya kufanya sasa wanafikiria wizi tu.
Sinema moja kuwa na Part 1 na Part 2 ni wizi, tusikubali kuibiwa, tuache kununua kazi zao hadi hapo watakapo jirekebisha.