BjBj umenena. Yaani
tatizo wabongo wanaigiza wanaigiza.
Mmegusa penyewe, mimi mwenyewe naona kinyaa kabisa kutizama haya maigizo ya tz a.k.a filamu za kibongo.
Naona kama wameelemea zaidi kwenye mapenzi halafu hata uhusika wanashindwa kabisa kuuvaa, yaani hakuna uhalisia kabisa.
Wapo hapa JF tele... Tatizo movies hizo zinatoka bila kupitishwa kwao!hivi kwaniTanzania hatuna ma -movie critics?
hivi kwaniTanzania hatuna ma -movie critics?
Nyie pigeni kelele hapo mwenzenu ze great na ze greatest wako busssy kuandaa maigizo mengine kule,muvi zinatoka kila wiki.
Subtitles ni tatizo kubwa ukiachilia mbali haya maigizo ya kulipua lipua eti mtu anatengeneza picha akiwa mkulima lakini uso amescrub na nywele amekalikiti...hahaaa ..CRAP!!Sijaona watu waliotoa maoni kuhusu "subtittles" za kiingereza kwa zile filamu ambazo zinaonyeshwa kwenye "channels" za DSTV. Kwa kweli zinachefua sana hasa kama unazitazama na watu ambao si Watanzania. Unatamani ardhi ipasuke upotelee huko. Kiingereza kinachoandikwa huko ni Kiswangilishi kitupu. Sielewi kwa nini hawataki kutumia pesa kidogo kupata watu ambao wanajua kiingereza ili wawaandikie hizo "subtitles". Nawaomba sana sana waache Uswahili kwani wanajiadhirisha wao na nchi yetu Tanzania.