Wanatuibia:Tuache kununua sinema za KIBONGO

Spot on D,

Unajua mwanzo mgumu wajameni...sawa makosa na unprofessionalism yapo, but give guys some credit. At least wametufikisha hapa tulipo kutoka kwenye maigizo.... My two cents....input is needed in Professionalism and Script writing! Mambo ya picture quality, Lugha (English), stunts, wardrobe, cast etc....yatarekebishwa with time...This is a work in progress peoples.....:biggrin1:
 



Thank you that you are in agreement... TZ tumezoea sana kuponda mpaka hua tunasahau huo unaemponda hawezi kua baba bado nikijana mdogo tu wa miaka 10 ila attitude yake ndo ya kiutu uzima..
 
mi sina ubaya nao walipoanza walikuwa very promising,walifikia mapema sana maendeleo waliyofikia lakini kwa mshangao wangu gafla wamesimama hapo hapo walipo hawaendi mbele wala popote.yalikuwa ni matumaini yangu kwa hii technology iliyorahisishwa wangekuwa washapiga hatua kubwa!kumbuka bollywood,hollywood walianza kwa kuchechemea sababu hata technology ilikuwa si kubwa
 
Kuna kijana wa Kibongo anasema eti alichofanikiwa kwenye sinema ni kupata mademu, kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…