The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Katiba yenu ya CCM hivi karibuni imeboreshwa kwasasa inasemaje kwenye Hilo?Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.
Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama
View attachment 3452171
View attachment 3452186
Je hakushinda? Unashinda lakini wahuni wakiamua usishinde hushindiKura ya maoni maana yake ni nini TAIFA la watu wajinga .
Maoni sio maamuzi rasmi .
Hata Chadema mwaka 2015 walimteua Lowassa kiubishi
Kura za maoni zinapigwa na watu wenye upeo mdogo wa uelewaJe hakushinda?
Makafiri wa misikitini wanatuambia tuchague rais mwanamke....mimi napinga hata wanawake kuwa wapiga kura napinga upumbavu wa mwanamke kuwa waziri au naibu waziri napinga upumbavu wa mwanamke kuwa mbunge napinga majeshini kuwa na cheo cha mwanamke zaidi ya kapteni napinga wajumbe wa nyumba kumi kuwa wanawake napinga RAIS MWANAMKEWanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.
Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama
View attachment 3452171
View attachment 3452186
Kuna wengi wao wana upeo mkubwa ila huarisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a k.a kujizima dataKura za maoni zinapigwa na watu wenye upeo mdogo wa uelewa
Sio kweli mkuu. Acha zereu kbsKura za maoni zinapigwa na watu wenye upeo mdogo wa uelewa
Ama kama digidigiPolepole kashawaambia ukweli, chama kimeshikwa na wana mtandao - sasa cha kufany ni kimoja tu kukaa kimya maana ukihama chama shida, ukiongea na vyombo vya habari ni shida. Yaani ishi kama msukule vile.
Wanasema watapigia chama cha upinzani inaonekana hawa wana ccm tarime hawasomi kusikiliza clip za Pole pole au wanapuuzia.hata wakikipigia chama cha upinzani ni Nec Nida ccm wanaamua.Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.
Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama
View attachment 3452171
View attachment 3452186
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.
Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama
View attachment 3452171
View attachment 3452186
Kuna muda siasa siooooo