Wanatupiga mchanga wa macho kwa kutumia michezo.

Wanatupiga mchanga wa macho kwa kutumia michezo.

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
1,702
Reaction score
147
Watanzania lazima tuamke.Tutambue kwamba mafisadi na washirika wao wanatumia kila njia kutufanya tusahau matatizo yetu ya msingi.Wanakazana sana kutumia michezo,kutuletea starehe mbali mbali katika harakati zao hizo chafu.Tuwe 'focused' katika vita yetu ya kuhakikisha kwamba kila aina ya uovu unatokomezwa katika jamii yetu.Tusidanganyike kamwe na udanganyifu wao.Mwisho tukumbuke kwamba mfarakano huu tunaouona sasa, umepangwa kwa nia ya kutusambaratisha.Ushahidi upo.Kwa hiyo tuwe waangalifu sana katika kutatua matatizo tuliyo nayo,tusije tukafika mahali tukauana wenyewe kwa wenyewe,ambao ndio mpango wao kwetu.
 
Back
Top Bottom