Mtangazaji wenu akikuwa ni RIP Dominick chilambo.
Uwanja Ni CCM kirumba ,mwanza.
Mpira ulikuwa unatangazwa kwenye radio lakini utadhani unauona kwenye TV.
1. Paaul Rwechungura / Madata Lubigisa
2 Daviid Mwakalebela
4.
5 Gorge Masatu
6 Husein Maarsha
7 Hamza mpnda
8.Mau mkami
9. Kitwana Seleman
10. Fumo Felician
11.Nteze John
Mecco na Ushirika Moshi ni timu nyingine zilikuwa zinacheza kandanda safi.