Wanaume 20%, wanawake 80% ya uaminifu ktk mahusiano.!

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Huyo ni utafiti umefanywa na shirika moja linaloshughulika na mambo ya kijamii. Hongereni wanawake..!
 
Utafiti ulifanywa wapi? Wamechukua sampuli ya watu wangapi?
 
Huo utafiti ulifanyika mataifa yapi? na ulihusisha kundindi lipi? eg wanandoa au vijana walio kwenye urafiki etc. Unaweza kutuwekea hiyo ripoti tuweze kuichambua kwa umakini zaidi?
 
Kama kweli 80% ni waaminifu mbona hawana bikra? zinaenda wapi? siyo zinatolewa kwa kutokuwa waaminifu kwenye usichana wao? au uaminifu kwako unamaana gani?
 
hao jamaa hawana akili bana! uaminifu tangu lini ukafanyiwa research?, wengi wa wasiokuwa waaminifu ni silence killerz. maresearch ya kizembe kama haya mara nyingi yanafanywa naijeria ili wapate sababu za kulogana.
 
Kama kweli 80% ni waaminifu mbona hawana bikra? zinaenda wapi? siyo zinatolewa kwa kutokuwa waaminifu kwenye usichana wao? au uaminifu kwako unamaana gani?

Sidhani kuwa na bikra ndio kipimo cha uaminifu. Utakuwaje mke wa mtu, at least, halafu uwe bikra?
 
Hiyo report imeanzia kwenye mahusiano ya kawaida mpaka kwenye ndoa. Na imefanyika nchi zaidi ya 20 Tz ikiwemo. Ninayo kwenye soft copy nitaipost report nzima
 
Hii tafiti sikubaliani nayo 100% kasababu hapa ofisini zaidi ya 80% wanawake wana-cheat, pia ofisi za washikaji zangu the same. Labda huo utafiti ulifanyika kwa wototo wa under 18.
 
Kama kweli 80% ni waaminifu mbona hawana bikra? zinaenda wapi? siyo zinatolewa kwa kutokuwa waaminifu kwenye usichana wao? au uaminifu kwako unamaana gani?

Hapo kweny bikra hapo,mwanaume anaeza kutoa hata 20,but a girl looses it once,so kwenye huo uaminifu,men top up..na uaminifu nadhani ni kwa wenzi wao!.n ts true,kulingana na mentality ya men these days plus biologcal differences.
 
Kama kweli 80% ni waaminifu mbona hawana bikra? zinaenda wapi? siyo zinatolewa kwa kutokuwa waaminifu kwenye usichana wao? au uaminifu kwako unamaana gani?

mmmhhh tukuulize weye..
maana wanaume ndo wahusika wa kuto bikra..

Je na walio bakwa unataka kusema nini tu hapo..

fikiria kabla huja tapika maneno..
hao wanawake unaowaongelea vibaya
ndo hao hao wamekuzungua, mama, dada, shangazi, wife n.k..
 
Hiyo report imeanzia kwenye mahusiano ya kawaida mpaka kwenye ndoa. Na imefanyika nchi zaidi ya 20 Tz ikiwemo. Ninayo kwenye soft copy nitaipost report nzima

post fasta fasta. Naona watu washaanza kufa na vijiba.
 
Huu utafiti waweza kuwa kweli kabisa,wanawake wanao-cheat ni wachache sana.Nimefurahi sana wamefanya utafiti wa namna hii.....:smile-big:
 
Anyway, hii tafiti ilifanyika 1975.Leo hii mbona kina dada wako fasta kuliko mamen.
 
Huu utafiti waweza kuwa kweli kabisa,wanawake wanao-cheat ni wachache sana.Nimefurahi sana wamefanya utafiti wa namna hii.....:smile-big:

Umeona eeh?me loove this!.
 
nakubali kwa asilimia zote hawakushirikiswa washkaji wa DNA

Mkuu kupima DNA inaweza ikawa si kipimo sahihi kuonesha kwamba wanawake wana cheat.

Pia soma hapa

Anti-switch techniques

Wikipedia

Check hizo anti-switch techniques then tujiulize ni applicable Tanzania.....? Hizo maternity wards hazina vitanda vya kutosha...akina mama wanalala chini kama sio ku share vitanda,hizi techniques hazipo...hapo tuki rely on DNA testing....ndoa lazima zivunjike sana ..na udugu baina ya baba na mtoto pia utakuwa mashakani.

Mimi nadhani wapimwe wote...mtoto,mama na baba ili ku rule out possibilities za kwamba kulitokea baby switching after delivery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…