klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Jamani ni kweli hebu acheni ubishi.
post fasta fasta. Naona watu washaanza kufa na vijiba.
Huu utafiti waweza kuwa kweli kabisa,wanawake wanao-cheat ni wachache sana.Nimefurahi sana wamefanya utafiti wa namna hii.....:smile-big:
Umeona eeh?me loove this!.
Huu utafiti hauwezi kuwa sahihi maana kama wanawake wamekuwa waaminifu zaidi dhidi ya wanaume, iweje sasa tafiti za TACAIDS ziseme kwamba maambukizi ya ukimwi kwa wanawake ni makubwa 6.6% ukilinganisha na wanaume 4.6%.
Nani anasema uongo hapo....?
mgongeeni jamaa senks basi, acheni uchoyo!
hahahahah! wakipima DNA watu watatafutana