Wanaume 32 wagundua Watoto sio wao baada ya DNA, wataka pasipoti zao zifutwe

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kurugenzi ya Uraia na Udhibiti wa Uhamiaji ya Uganda (DCIC) imesema imepokea barua kutoka kwa Wanaume wasiopungua 32 wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto wao baada ya matokeo ya vipimo vya #DNA kuthibitisha kwamba wao si baba wa kuwazaa

Baada ya Ugunduzi huo walitaka taarifa zao ziondolewe kwenye Pasipoti za Watoto hao, jambo ambalo DCIC haikuweza kutimiza na badala yake walituma barua kwa Mamlaka ya Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa nchini (NIRA) ili kusasisha taarifa zao

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Simon Mundeyi amesema hatua hiyo ilichochewa na makala ambayo ilidokeza kwamba baadhi ya Wanaume waligundua kuwa si watoto wote katika familia zao walikuwa wa kwao kibayolojia
......

32 Ugandan men want children passports cancelled after DNA tests turn negative

The Ugandan Directorate of Citizenship and Immigration Control (DCIC) has received letters from at least 32 men demanding the cancellation of their children’s passports after DNA results proved they are not biological fathers.

According to Uganda's Daily Monitor, the men had applied for and acquired passports for their wives and children only to realize the children were not their own.

The men have since demanded their details extracted from the children’s passports.

However, DCIC was unable to grant their wish but instead forwarded their letters to the country's National Identification Registration Authority (NIRA) to update their information.

The Ministry of Internal Affairs spokesperson, Simon Mundeyi told local press that the move was prompted by an article that alluded that some of their counterparts had realized that not all children in their families were biologically theirs.

Source: Daily Monitor, NTV
 
.........

Hii yote ni matokeo ya kukosa uaminifu ktk ndoa. hususani kwa akina dada na akina mama.
 
Back
Top Bottom