Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo.
Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa.


Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu mbalimbali za kivita za utapeli.
Wanaume wa Facebook
Wanaume wa IG.
Wanaume wa mtaaani anakuita uende sehemu unamwambia tuma nauli na wala huendi.


Hata hapa Jf nimeshakula sana nauli karibuni wote niliokula nauli zenu mtiririke na kuserereka in Gentamycine voice.

Mfano wa comment:

WEWE DEMISS HAKIKA SITAKUSAHAU NIKAKUTUMIA NAULI UTOKE DODOMA KUJA MWANZA KUMBE NI UONGO NAPIGA SIMU UNANIAMBIA UMEFIKA NZEGA SIJUI ULIKUWA UNATUMIA UONGO GANI VITUO VYOTE VYA BASI UNAVIJUA HAKIKA WEWE NI TAPELI KULIKO HATA WALE WA HELA HII ITUME KWENYE NAMBA HII
NASEMA DEMISS TAPELI MKUBWA WEWE SITAKUSAHAU UKAAMUA NA KUNIBLOCK HAKIKA UNA DHAMBII KULIKO HATA SHETANI.

Karibuni jamani wanaume mtuchambe leo wanawake.

Wanaume tuko pamoja leoo eeeeeh
 
Hivi We Nyanfuru unajua hiyo hela niliyokutumia kama nauli nilivimba nikaacha kupeleka marejesho ya Saccos ili nikutumie wewe afu umejifanya mjanja umeingia mitini..!

Kwa taarifa yako nina mganga wangu wa kutoka Msata anaitwa mshana Jr kwa gharama ndogo nikimpa tu anakutandika fusho linaitwa "surhati zubaa" unazubaa miaka saba..! Yaani hautafuti mume wala hela!

Pona pona yako irudishe nauli yangu kwenye namba hii 0787278929993999393 haraka. Nasubiri!
 
Last edited:
Dah ilishanitokea nakuja kuangalia hela imerudishwa kuanzia hapo nikitumiwa hela fastaaa M-PESA sitaki ujinga
Inaonekana wewe ni gwiji ila ulikutana na gwiji mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…