Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
weka bango kwamba wew hujiwezi mlemavu wa viungo upewe msaada[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
weka bango kwamba wew hujiwezi mlemavu wa viungo upewe msaada[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenge nyie mkiuona mke wa mtu ameng'aa mnaanza kutema mate mtatapeliwa, leo ndio nimeona kwamba cc wanaume tupo tunaojua kutongoza na tusiojua kutongoza ila wajanja walishajua kuwa hizi c comments za dem
 
Sasa mambo gani yakutiana aibu mambo muongee wenyewe muje kututangazia huko ndio nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…