Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Demu Limekaa KichaggaChagga Hivi Mtu Unaamzaje Kulitongoza Maana Tunakuja Kuaibika Wanaume Wote Hapa. Maana Lazma Mtombano Skillz Kwake Sifuri. How,Hamuwaoni Watoto Wa Pwani Na Wa Kitanga Kina Nifah??
 
Sikufichi nisiwe mnafiki kama huyo wa kwenye avatar ni wewe basi una sura mbaya kiseenge halafu ulivyo kibonge ndio kabisaa
Nashangaa Huyo Mtongozaji Kaanzaje Anzaje Demu Anasura Nzito Ka Zege. Mie Hata Senti Tano Sitoi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza iko hiv ww mwenyewe umejiweka kipesa.. yaan uko kibiashara zaidi ... so lazima wakuchukulie powa...
Unataka mwanaume serious.. na ww kuwa serious... sio unaonyesha interest yako day 1
 
Mkuu ulikwenda pm nini!! Mbona kama umepagawa hivi!!
Wachaga walikukosea nini!!
Demu Limekaa KichaggaChagga Hivi Mtu Unaamzaje Kulitongoza Maana Tunakuja Kuaibika Wanaume Wote Hapa. Maana Lazma Mtombano Skillz Kwake Sifuri. How,Hamuwaoni Watoto Wa Pwani Na Wa Kitanga Kina Nifah??
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Kwani unauza shilingi ngapi?
 
Demu Limekaa KichaggaChagga Hivi Mtu Unaamzaje Kulitongoza Maana Tunakuja Kuaibika Wanaume Wote Hapa. Maana Lazma Mtombano Skillz Kwake Sifuri. How,Hamuwaoni Watoto Wa Pwani Na Wa Kitanga Kina Nifah??
Kichaga kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…