Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Ahahaa.... Mkuu wewe ni mpekuzi hatari
Lakini si umemuelewa mleta mada lengo lake hasa ni nini?
Ukisoma hiyo thread niliyoweka link anaact kama mwanaume, hii yuko kama mwanamke.
So nimeshindwa kuelewa lengo, ningejua kwanza jinsia ingekuwa rahisi labda.