Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Kweli Usikute Ni Lijames Delicious Hahaha. Maana Mwanaume Kuweka Profile Ya Kike Ni Tatizo.
Kuna thread yake inaonyesha yeye ni mwanaume, mara hapa tena ni mwanamke. Kuna wanaume ndio zao hizo utaombwa hela ila ukimuomba muonane hakubali.
 
Alikuwa ananitoa la ten au five
Sasa mbona huyo umemuekea dau kubwa akati kuna mwingne alikua anatoa had buku5 [emoji23] [emoji23] [emoji23] ninamashak naww isije ikawa ndo wale wapindixha nondo kwa kichwa mana unaonekn kauzu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe PM ni kwa ajili ya kuombana 10000??? huku kukomoana sasa
 
Anakwambia pm sms then anakutongoza
Hupendi kutongozwa??????
If you have all that a real man needs in a woman , its inevitable kutongozwa.
Wenzio wanazililia hizo nafasi za kutongozwa
 
Back
Top Bottom