[emoji23][emoji23][emoji23]eti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY
Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???
*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,
*Muite japo _GUNIA LA MCHELE,MFUKO WA SUKARI,TRECTOR_ n.k*
Mfano unampigia simu unamwambia *nimekumisi gunia langu la misumari*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππβπππpoaeti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY
Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???
*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,
*Muite japo _GUNIA LA MCHELE,MFUKO WA SUKARI,TRECTOR_ n.k*
Mfano unampigia simu unamwambia *nimekumisi gunia langu la misumari*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You are right 100%eti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY
Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???
*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,
*Muite japo _GUNIA LA MCHELE,MFUKO WA SUKARI,TRECTOR_ n.k*
Mfano unampigia simu unamwambia *nimekumisi gunia langu la misumari*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ueleze maelezo ya kutosha? kwani polisi huyooo? uoga huoHivi hii unaanzaje kumuambia i miss u gnia langu la sembe.Ukirudi nyumbani itabidi uandae maelezo ya kujitosheleza kuwa ile sms haikuwa yake ni Paskali aliazima simu ndio akskosea number ikaja kwako