Wanaume acheni mara moja kuvaa "kufuli" zinazobana ni hatari tena kubwa sana!!!

Kingcobra

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,000
Reaction score
310
Wanaume wengi hivi sasa wanakabiliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa masuala hayo. Lakini kuna sababu moja imeachwa nayo ni uvaaji wa kufuli zinazobana. Kiafya, sehemu nyeti ya mwanaume hasa zile gololi zinatakiwa ziwe huru (free) kucheza kadri inavyowezekana. Zinapobanwa uwezo wake wa kuzalisha "bidhaa" unapungua kwa kiasi kikubwa na kusababisha kiasi cha "mbegu" na hata nguvu ya kupanda "mlima" kupungua. Kwa wanaovaa kufuli zinazobana waache mara moja. Watafute zinazopwaya ili kuruhusu "kiwanda" kifanye kazi yake ipasavyo. Sijui kama umewahi kujiuliza kwa nini wamasai wanaume hawavai "kufuli"? Ebu jaribu kufanya kautafiti kadogo upate sababu yake.
 
Heri yangu mimi nisiyevaa kabisa na mambo yapo swaaafi kabisa! Engine ni kick moja tu yaani pamoja na uzee wangu ukizungusha switch kidogo tu muda wowote inajibu.
 
Hata mababu zetu enzi zao walikua hawavai chupi kabisa,wao wanakua free kabisa hata hewa inapita,wanavaa msuli au suruali bila chupi,wanajua madhara ya chupi,na mababu zetu hawakuwahi hatasiku moja kulalamika kua wamepungukiwa nguvu zakiume,pia hata vyakula tunavyokula sikuhizi vina chemical nyingi zinazoleta athari ktk afya,
 
Wanaume wengi hivi sasa wanakabiliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa masuala hayo. Lakini kuna sababu moja imeachwa nayo ni uvaaji wa kufuli zinazobana. Kiafya, sehemu nyeti ya mwanaume hasa zile gololi zinatakiwa ziwe huru (free) kucheza kadri inavyowezekana. Zinapobanwa uwezo wake wa kuzalisha "bidhaa" unapungua kwa kiasi kikubwa na kusababisha kiasi cha "mbegu" na hata nguvu ya kupanda "mlima" kupungua. Kwa wanaovaa kufuli zinazobana waache mara moja. Watafute zinazopwaya ili kuruhusu "kiwanda" kifanye kazi yake ipasavyo. Sijui kama umewahi kujiuliza kwa nini wamasai wanaume hawavai "kufuli"? Ebu jaribu kufanya kautafiti kadogo upate sababu yake.

hahahaaaaa.., Asent mkuu, u med ma day with knowledge juu.., ntakuwa natanguliza Putura..!:decision:
 
Sikujuwa Kama siku hizi mbegu huzalishwa kwenye pumbu. kwa hiyo tulihitaji kuhasi mwanaume (vasektomi) tukate pumbu. Asante kwa uvumbuzi wa kisayansi.
 
Tatitizo tusipovaa chup dudu ikisimama inakuwa balaa hasa pale unapoona jinsia tofaut maeneo ya kutamanisha kama mazwa, mapaja makalio etc
 
Tena siku hizi wanavyotembea nusu uchi, ukitazama tu kitu kinasimama.
 
Umeongea ukweli kabisa ndugu yangu.

Kwa ushauri mwingine hata watoto wakiume wadogo msiwavalishe ch**** kabisa inapunguza ukuaji wa ile kitu. Kwa mujibu wa Bibi yangu zamani kaka zangu walipokuwa wadogo
 
Dena mama, kweli tusipuuze hekima za wazee. Lakini hoja hapa zijikite kwenye sayansi yenyewe eti?
 
hii ki2 mi nilisikia long sana na 2kaambiwa 2we 2navaa boxa! na ki ukwel ukishazoea boxa huwez vaa ch**i labda iwe ova saizi. ni hayo tu.
 
Dena mama, kweli tusipuuze hekima za wazee. Lakini hoja hapa zijikite kwenye sayansi yenyewe eti?

Ni kweli my dear msivae ch**** za kubana bana si kuna boxa siku hzi?? Mume wangu alikuwa mbishi kweli eti ooohhh hizo za vijana lakini siku hizi ndo mwenyewe kwa kuzinunua
 
Mi huwa navaa boxer lakini kutokana na dada zetu kuwa uch inabda asubuh nikitoka dudu inafungwa kushoto na mkanda isije niaibisha na surual yangu ya kitambaa
 
Ni kweli my dear msivae ch**** za kubana bana si kuna boxa siku hzi?? Mume wangu alikuwa mbishi kweli eti ooohhh hizo za vijana lakini siku hizi ndo mwenyewe kwa kuzinunua

Unafikiri nakataa Dena, tatizo langu ni hivi, nobody is providing scientific explanation and then we are generalizing. Kwa mfano, kwenye eneo kama Makambako kuna baridi kali. Na maeneo mengine mengi tz. Zikipata baridi sana pia zinauma kwelikweli hivyo kupunguza intensity ya ngono. Shafti pia inakuwa ndogo sana kwenye baridi kali, inaweza hata isisimame wakati kwenye joto inasimama hovyo hovyo. kwa hiyo watu wa maeneo ya baridi kali boxer hazitawasaidia. Dar sawa.
 
actually you are rights, the boys need to be left free to move either side..ukiwabana sana hawa wanapata joto halafu wanakuwa hawazalishi tena mbolea....badaye unajikuta sifuri.......
 
Back
Top Bottom