Dena mama, kweli tusipuuze hekima za wazee. Lakini hoja hapa zijikite kwenye sayansi yenyewe eti?
Kukujibu kisayansi ni kuwa,
1: NI KWELI kuwa mbegu huzalishwa katika korodani zilizo katika halijoto ya chini ya joto la binadamu. Unajua mtoto mdogo korodani zake huwa zipo ndani ya mwili kwa kiasi kikubwa kuliko sisi ma-shababi? hii hupelekea uzalishaji wa mbegu kwa watoto kutokuwepo kabisa, sababu? korodani zipo ndani ya mwili hivyo zina joto la juu sawa na mwili.
LABDA NDO MAANA: wakati wa baridi kali hamu ya ngono huzidi maradufu kwakuwa uzalishwaji wa semeni ni mkubwa mno na mwili huchochea mwili kupunguza semeni kwa kuhitaji 'mambo yetu' kwa kiasi kikubwa. =====> mimba zikizidi muda wa baridi fikiria zaidi hili na si tu kupata joto cuz thtz not kweli kisayansi.
Hitimisho: inawezekana ni kweli chupi mbano hupunguza nguvu za kiume kwakuwa hugandamiza korodani mwilini kwa muda mrefu na kuziongezea joto.
2. Unafahamu "evolution" kumbukumbu zangu zinaniambia ni mambo ya kina Darwins (mwanasayansi aliyechangia kwa kiasi kikubwa mambo hayo ya evolution)
Wanasema hata twiga alikuwa na shingo fupi ila kwakuwa alilazimika kula majani yaliyopatikana juu ya miti, taratibu shingoyake ikarefuka. Jaribu kutafakari kuhusu watu wa kale na wa sasa, wa mijini na vijijini, wa maofisini na wavuvi (mfano). unaona tofauti? najua utaiona lakini huletwa na nini? Jibu ni jinsi wanavyopambana na mazingira yao ili waishi.
Hata uume wa anayefanya mapenz mara kwa mara huwa ni
mkubwa kuuzidi wa yule asiyefanya hivyo mara kwa mara ( huu ni utafiti wangu)
hitimisho: uwezekano wa mwanaume asiyefaa chupi kuwa na uume mkubwa wakati wa ukuaji kuliko anaevaa ni mkubwa kwa kuwa haubanwi na kuzuiwa kukua