Wanaume bado mpo? Mwezi wa 7 si ndio huu?

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Lile tangazo La SIZONJE naona kama limepuuzwa vilee.
C tuliambiwa mpaka kufika mwezi wa sabaa atakaebakia MUJINI[emoji538] [emoji545] [emoji537] [emoji536] ni kidume Sasa mwezi huooo unaelekea jioni vidume vimikomaa VIPO!
SIZONJE ongeza makalii afu ongeza muda mpaka December ikifika ndo tutajua nani wa mujini na nani wakuletwa[emoji196] [emoji216] [emoji219]
 
Hii ni dharau kutufananisha na wanawake, sisi wanaume tunaoishi huku chato....[emoji23] [emoji23]
Toba....[emoji87] [emoji87]
Kunamtu nimemtaja bila kukusudia...[emoji45]
[emoji125] [emoji125]
 
Hii ni dharau kutufananisha na wanawake, sisi wanaume tunaoishi huku chato....[emoji23] [emoji23]
Toba....[emoji87] [emoji87]
Kunamtu nimemtaja bila kukusudia...[emoji45]
[emoji125] [emoji125]
Vipi hapo chato upoo karibu na Yale mataa mapya ya traffic[emoji15]
 
Hahahaaa ila Situation ni ngumu sana mtaani, Kwenye Michango ya Harusi huko ni balaa tupu. Magu abane zaidi tushike adabu.
 
Hahahaaa ila Situation ni ngumu sana mtaani, Kwenye Michango ya Harusi huko ni balaa tupu. Magu abane zaidi tushike adabu.
Mnajifanya mmekomaa sioo[emoji15]
Sasa tunaongeza mpaka desemba tuone.
hawa jamaa WANAUME wa makiniko titakuwa timimalisana nao[emoji196] mtakimbia wenyeww
 
Hahahaaa ila Situation ni ngumu sana mtaani, Kwenye Michango ya Harusi huko ni balaa tupu. Magu abane zaidi tushike adabu.
Yani unawaza muchango ya harusi tu ... Hujawowwa auu[emoji12] [emoji15]
 
Vipi hapo chato upoo karibu na Yale mataa mapya ya traffic[emoji15]
Mkuu....
Misina milioni 7 za kijinga, na usawa wenyewe kavu namna hii..
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mkuu sisi tumezaliwa mjini yeye wakuja ndio atarudi kwao hana maajabu zaidi ya roho mbaya,visasi na ukuda
 
Mnazidi kumchonga makali, "WANA CHADEMA 52 washikiliwa na jeshi LA polisi CHATO" chanzo mwananchi
 
Sisi wwngine makambale....hata ardhini tunaishi.....jangwani tunaishi labda waondoke waoooo......

OvA
 
....
....niko Manchester city Leo box likizo nakasubiri nikachape kazae chapa Ng'Ombe ..Hukukei kitu Kakakuona
 
Tutakomaa tu mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…