Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Sio kweli. Mwanamke anachaguliwa, hachaguiSio vizuri kudharau dharau vitu anavyochagua MKEO, Eti anachagua vitu vya ovyo na vya kijinga! Kumbuka hata wewe ni CHAGUO lake!... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...
Wewe ni Me au Ke?...Sio kweli. Mwanamke anachaguliwa, hachagui
Kamuulize mamakoWewe ni Me au Ke?...
Jibu swali acha kujitia vidole kooniKamuulize mamako
Mamake atakuwa na jibu zuri maana siongeagi na mabwa(bwa/wa)Jibu swali acha kujitia vidole kooni
Pole sana... tafuta njia nzuri ya kutatua matatizo yako, kuniletea hasira haitakusaidia...Kamuulize mamako
Nadhani wewe ndo una matatizo maana unauliza maswali ya kiboya kabisaPole sana... tafuta njia nzuri ya kutatua matatizo yako, kuniletea hasira haitakusaidia...
Nina shaka na jinsia yako, kama ni Me basi huna marinda...Nadhani wewe ndo una matatizo maana unauliza maswali ya kiboya kabisa
Utakuwa unanichanganya na babakoo. Nimekwambia kamuulize mamako ndo anataarifa zangu. Sina muda wa kubishana na machokooNina shaka na jinsia yako, kama ni Me basi huna marinda...
Lugha yako tu inakuonesha umeathiriwa kiasi gani, ndio maana hueleweki kama ni Me au Ke...Utakuwa unanichanganya na babakoo. Nimekwambia kamuulize mamako ndo anataarifa zangu. Sina muda wa kubishana na machokoo