wanaume family vs. wanaume halisi mpambano

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Jamani nilisikia kuan mpambano Dar Live siku ya tarehe 31 March 2013 kati ya wanaume family na wanaume Halisi. nani alishinda?
 
muulize shigongo ye si ndo huwa anatangaza mpambano kwa sana ya hapo DAR LIVE sa sijui alisahau kutoa majibu
 
Jamani nilisikia kuan mpambano Dar Live siku ya tarehe 31 March 2013 kati ya wanaume family na wanaume Halisi. nani alishinda?

hakuna kama Nature Temeke
 
[h=3]MPAMBANO KATI YA TMK WANAUME FAMILY NA TMK WANAUME HALISI[/h]

[h=2][/h]
[FONT=Arial, Tahoma, Helvetica, FreeSans, sans-serif]
[/FONT]
Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao dhidi ya mahasimu wao, TMK Wanaume Family.


Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa TMK Halisi, wakati wote vidole juu...TATU BILA, hata walipopagawishwa na nyimbo kali za TMK Family.

Mhe. Temba akicheza na mashabiki katika mpambano huo wa kukata na shoka

JB wa TMK Halisi akicheza na mashabiki wake pia

Sir Nature (kulia) na Doro..kazini

Mhe. Temba na Chege,,,kazini

..Inspector Haroun akiwa jukwaani akiwakilisha Gangwe Mob kivyake

..Inspector anapoamua kuvua viatu na kupiga shoo peku...

..Chezea Dar Live wewe!

Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akionesha manjonjo yake mbele ya mpiga gitaa wake!

...dogo Lila kutoka kundi la Nature, akiwa ni member mpya wa kundi, akichana mistari vibaya mno....

...dogo Aslay wa TMK Family akiwaimbisha mashabiki

...Profesa jay nae alikuwepo kuwakilisha vilivyo game ya Hip Hop

DJ Jd alikuwepo kwenye mashine kucheza nyimbo za Prof jay na pia kuwaonesha Ma DJ chipukizi jinsi ngoma inavyochezwa!

........shooo wa Wanaume Family ikipamba moto

DJ JD alikuwa kama jaji pia, hapa akimtangaza Nature ndiye Mfalame kama mashabiki walivyoitikia.

...Nature akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mfalme.

PICHA: Richard Bukos na Issa Mnally - GPL



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…