Wanaume hakikisheni mnafuata ushauri huu

kipanga85

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2,459
Reaction score
6,466
Kwa wanaume wote ukienda shule ya udereva utayaona magari mengi lakini usilichukue hata moja ,bali tumia magari hayo kujifunza kutembesha lipia gharama zake kisha yaache hukohuko.

Kisha nenda dukani kanunue gari mpya nzuri unalotaka kulitembesha kwa ujuzi na ufundi ulio chukua shule





NB: Unaponunua gari hakikisha unanunua pikipiki pamoja na baiskeli ili siku gari likizingua basi unakua na uhakika wa usafiri
 
Kwender πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Magari ya kujifunzia ndio imara kwa taarifa yako, chuma cha mjerumani hakishiki kutu shauri yako..!
Naomba unikopeshe gari lako, sina pesa ila nna nidhamu katika matumizi ya magari hvy sitoumiza gari lako 😎
 
Umeandika kiufundi sana ila tumekuelewa mkuu🀝
 
Then unakwenda kununua gari jipya! Vipi umeshajiuliza kuwa hata hilo jipya usikute limepitia Drive Test!!?
Tena kwa zaidi ya madereva watano!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…