Wanaume hatuna uhitaji na wanawake na hatukuumbwa kwa ajili yao kabisa

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu

1 Wakorintho 11:9

Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume

Siku zote wanawake ndiyo wenye uhitaji na wanaume, na wao ndiyo waliumbwa kwaajili ya wanaume na wala sisi hatukuumbwa kwaajili yao, pia wanawake ni viumbe dhaifu ambao wanahitaji wanaume ili waweze kuficha udhaifu wao na wala siyo sisi wanaume wenye uhitaji nao sana.

Ndiyo maana sisi wanaume tunaweza kuwazalisha wanawake na kuwasahau kama wao hawata tung'ang'ania

Ndiyo maana wanawake wantaka ndoa ili waitwe Mrs flani na waheshimike kwenye jamii wasionekane malayer

Ndiyo maana tunaweza kulala nao na tukisha kojoa tukawapotezea kabisa kama wao hawatakuwa na juhudi ya kutufanya tuendelee kua nao.

Ndiyo maana wanawake wanatudangia na kujiuza ili tuwanunue.

Ndiyo maana wanawake wanajiweka sopu sopu na kujiremba mno, kuvaa nguo za nusu uchi ili tuwape attention na ukiwanyima atention wanajiona wananuka hawavutii wanaume.

Ndiyo maana wanawake hawana utamu wowote, wanataka utamu wetu ili wanawiri ukiwakojolea ndani

Ndugu zangu kwanini basi tujiangaishe na viumbe ambavyo hatukumbwa kwaajili yao, je, shida iko wapi sisi wanaume
 
Unahoja usikilizwe
 
Huo ni uongooo buanaa
 
We jamaa hujawahi pata mfinyio wa ndani ww
 
LOADING FAILED
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…