Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Amwambie wapi,.. Wakati sababu ya yeye kukaa uchi ni huyo huyo dada. Malipo ni hapo hapo ofisini.wewe kwani yule dada aliye kaa vibaya ulimwambia?
Jamani kweli ngombe hazeeki maini dooh babu shikamoo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni chizi ujue?
Eti ng'ombe hazeeki maini
Carba babu anatamanisha ujue
Hiyo apo picha[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 811992
ngoja tuisubiriHahaa wamekupiga picha. Baada ya muda itaanza kuzunguka kwenye mitandao.
Hapakua na miguno na miluzi wakati mnatoka nje na huyo dada?maskini dada mmoja mzuri mwenye busara akatoka nje na sekunde chache akarudi na kuninong'oneza kuwa ninahitajika mara moja nje nimfuate.
Ameweka picha ya huyo mdada au niendelee na hamsini zangu?Haaa haaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] leo hii wanaume hampendani? Maajabu haya ,
pole sana ila walishasahau pic yenyewe endelea tu kilicho kupeleka
Hahahaa hapo lazima watu wapate vikohozi vya ghafla.ha ha ha.. nlisikia kama mtu mmoja au wawili wameguna sikuelewa why
Hahahaa hapo lazima watu wapate vikohozi vya ghafla.
Kwa hiyo msaada alioutoa dada ni kukuachia ofisi yake tu au kuna huduma nyingine aliofa labda? Kama vile kusaidia kuiweka zipu sawa maana inawezekana ilikua imejam na ikihitaji mikono zaidi ya miwili kuirekebisha
Mimi ni mwanaume kama wewe.
Kama umeandika hili kwa kutojua basi nimekujulisha..
Na kama umeandika kwa kujua ila umeamua kuandika hivyo ili kufikisha ujumbe/dhamira yako kwa comment yangu una haki pia ya kuandika hivyo....
Any way shukrani kwa stori nzuri ya kutufunza mambo yanayotuzunguka katika maisha yetu ya kila siku
Anabusara zilizotukuka huyo dada, contact ulichukua lakini? ila wanaume kweli hapo walituangushakwa huyu dada kwa kweli yeye msaada wake ulikomea pale tu... ila nimpenda sababu ni muugwana sana na mwenye busara. ha ha ha.