kumradhi ndugu yangu sikuwa na ufahamu huu hapo awali .nlichukulia tu kwa hiyo comment mwandishi angekuwa mwanamke. but kwa kuwa si... nikutake radhi. sina sababu ya kuutweza utu na jinsia yako.la hasha hilo si kusudio langu ndugu yangu... uniwie radhi ... tupo kwa ajili ya kufundishana na kuburudishana na wahenga walisema "ada ya mja hunena uungwana ni vitendo"