Wanaume hii Haifai kbsa...

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mwanaume...baby unanipenda?
Mwanamke/Baby...tena sana swty wangu.
Mwanaume...niweke basi kwenye profile picha yako ya watsaaps/Fb.
Mwanamke...wala usihofu swty wangu sema na lingine
Mwanaume...sina lingine baby

After A Second Mwanamke kachange profle picha na kumweka baby wake.

Mwanamke...Swty nawe niweke basi

Mwanaume ...usijali nakuweka baby wangu ila Ntaandika R.I.P..
 
Mapenzi ya secondary na chuo..wenye timamu zao hawana hizi mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…