Wanaume, hivi kubikiri kwenu ni ujiko?

Kubikiri kuna raha yake wewe. Muulize aliyekubikiri alipata raha gani...Yaani kitu kinakuwa MNATO BALAA. Kama kizibo cha peni ya speedo. Yaani K inakuwa inavuta si mchezo.

Huo MNATO BALAA unatakiwa uufurahie KUKIWA NA MAKUBALIANO KATI YA WAHUSIKA WOTE WAWILI KABLA YA TENDO LA KUJAMIIANA. Tofauti ya hapo ni UBAKAJI=fungwa na ingekuwa inakubalika unyongwe kabisa!

Ubakaji hauna nafasi katika dunia ya leo jamani!
 
Mh ! usijekuta kaambiwa hiyo ni dawa ya ngoma na sangoma
 

Nazjaz baada ya hicho kichapo hatua gani nyingine mlichukuwa kwa huyu jamaa?
 
Midume wako bright mpaka mwisho ila kwa iyo case huyo si yeye ila IBILISI NDO AMEMUINGIA

ibilisi? kwa kitoto cha miaka 12 ? ana laana huyo mzee shwaiiini kabisa
 
hivi wanaume kuharibu watoto wa wenzenu mnajisikiaje haswa? mnawalawiti vitoto vya kiume mpk wanaharibikiwa ukubwani co rizki tena, mnawanajisi, mnawabaka vitoto vya kike jamani jamani!! kwa nini msiende kwa migume gume?
kuweni na huruma wanaume jamani kha! pole yake huyo mzazi wa huyo mtoto na huyo mjaaa laana namuombea afungwe kifungo cha maisha jela akutane na wanyapara wamgeuze mke
 

Nazjaz ivi ubakaji na kubikiri kuna mahusiano kweli ya moja kwa moja?
 
Last edited by a moderator:
huo ni unyama zaidi ya wanyama. anajisifu kuvunja bikira kwa kubaka anastaili kifungo

[MENTION]BlakiWomani[/MENTION] kwahiyo asipojisifu asifungwe?
 

Si bure utakua unawashwa wewe!
 
ni ujiko ndio, yaani haya umeuliza makofi polisi.
 
Ukute na wengine wamo humuhumu alafu wana act eti nao wanakemea lol!! Btw, mie nikiwa na 10yrs.....niliwahi kunusurika na kitu ka hicho two times! Kila nikikumbuka namshukuru Mungu saaana, manake duh!
 

laaaaaaaahaaaaaaaaaaauuuuullaaaaaaaaaaaaaaah uuuuffuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…