Wanaume, hivi kubikiri kwenu ni ujiko?

Hii mi siwezi kumsaidia ila ukija na the same heading I can defend kutoa kakitu ni poaaaaaaaaaaaaaaa........though u cry
 

Ukitoa msichana bikira wewe ni shujaa kuliko hata waliopigana vita vya MajiMaji.
 
Huyo jamaa si mzima kichwani msitusingizie wanaume
 
Ana pepo huyo anatakiwa kufanyiwa maombi.
 
Ukitoa msichana bikira wewe ni shujaa kuliko hata waliopigana vita vya MajiMaji.

ushujaa unaosema wewe ni huo wa kutoa cell membrane (hymen) ama? na nyie wanaume bikra yenu inatolewaje au day 1 tu ukinanhi kwisha habari ama mii sielewagi ati, haha The emperor umenichekesha sana ati unakuwa shujaa kuliko waliopigana vita vya majimaji dah hii comparison mbona haina common set . uwiii wanaume jaman
 
yaani mwehu mmoja ndo unatukana wanaume woote?

Boss usiwe offended mkuu. Ila ni fact wanaume wengi wakipata nafasi ya kubaka bila kukamatwa watabaka. Ndio maana watoto, wagonjwa wa akili na walevi hubakwa cause mbakaji will get away with it asipokamatwa red handed.

Dawa ya wabakaji ni simple, wahasiwe.
Kama mwizi anavyopata kipigo kwa kuiba kuku, mbakaji ahasiwe iwe mwanzo na mwisho wa kufikiri kwa kutumia dick head badala ya ubongo.
 

Nini tena!?Umeniamsha usingizini kwa mayowe yako!
 
YULE MWANAUME KAKOSEA BWANA, KIFUPI MUUAJI APEWE 30YRS MOJA KWA MOJA
anyway....kubikiri ni starehe ambayo huwezi fananisha, kwani unakuwa dokta...lakini si ujiko kama unavyodhani inatokea tu na hii inategemea ulitageti au ndo unasubiri wakutengenezee....Halafu ukimbikiri msichana unampenda sana hata yeye pia, yani si rahisi msichana kutoka nje labda uanze mbwembwe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…