Wanaume: Hivi unawezaje kuvaa viatu bila soksi?

Wanaume: Hivi unawezaje kuvaa viatu bila soksi?

Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi?

Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi.

Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.

Huwa kunakuwa na soksi sema ziko fupi sana very short hauzion tu, nyingine zina rangi kama ngozi
 
Kuvaa viatu bila soksi kwangu ni kama kukata "mbuno" halafu nimwagie nje. [emoji1787]
 
Ndio fashion ya Sasa ....

Suruali bila mkanda na unachomekea ...

Then ,viatu bila socks ...
 
Mwingine akivaa Soksi miguu hupata fangasi na kutoa harufu
 
Inategemea na aina ya viatu kuna viatu bila soksi ndo una kua comfortable
 
Back
Top Bottom