Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Kuvaa viatu bila soksi ni sawa na kufanya mapenzi bila ndom, ni uchaguzi tu.Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi?
Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi.
Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.
Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi?
Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi.
Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.
They call it Secret socksHuwa kunakuwa na soksi sema ziko fupi sana very short hauzion tu, nyingine zina rangi kama ngo
Vijana wa kisasaNdio fashion ya Sasa ....
Suruali bila mkanda na unachomekea ...
Then ,viatu bila socks ...