lorahshop
Member
- Oct 16, 2021
- 39
- 69
Kiatu rangi nyeusi, mkanda mweusi, kiatu rangi ya kahawia na mkanda wa kahawia, kiatu rangi ya kahawa na mkanda rangi ya kahawa.
Mwanaume ukivaa mkanda ukafanana na kiatu halafu umechomekea unapendeza sana, haijalishi ni nguo za mtumba au dukani.
Haya kazi kwenu chukua iyo! Tafadhali zingatia rangi hizo tatu lazima muonekane ubadilike.