[/COLOR]
Siyo sababu FL1,ila ujue wanaume wengi wa siku hizi hawaoni mbele ya pua zao,wala hawafikirii,zaidi ni cheap,bado nguvu za giza,bado ushamba na kuiga mambo ya kipuuzi,kupungua kwa hofu ya Mungu,kutofundishwa wakiwa wanaenda jandoni,kupenda sifa za kijinga na makundi mabaya!There is nothing that can justify this behaviour......ila ndo nimesema,lets do our best on our responsibilities as wome/wives,the rest,LET GOD HANDLE THAT.
Tatizo la house maids ni kubwa mno kuliko tunavyofikiria.
Sasa wanalala na baba wenye nyumba tumeanza kuliona tatizo lakini kuna mambo ya haki zao maids nani anafuatilia?
Ningekushaurini akina dada msome kitabu kimoja kinaitwa "The help" kinaweza wapa muongozo wa the other side of the story.
If you treat your maid and your husband right nafikiri tatizo lingekuwa dogo sana
Hapo umekosea. Sijamu attack mtu wala nia hiyo sijaweka bado
Shetani alinipitia, baby come back!
hapa hata sijui niseme nini Gaijin:angel:

Michelle lazima atashangalia kondoo mmoja aliyetaka kupotea na kuamu kurudi kundini
Hiyo siyo name calling?
hapa hata sijui niseme nini Gaijin:angel:
Hiyo siyo name calling?
It's a sweeping general statement haikuhusu wewe personally au mwengine yoyote kwenye thread hii.
Nnachotaka kusema ni kuwa kwa kuwa wa mama wana sehemu ya kufikisha sauti zao zikasikika ndio maana tunasikia haya tu kuhusu h/g. Ile kanuni ya 'might is right' imeota mizizi hapo.
Hawa maids matatizo Yao hatuyasikii.
Huko kwenye seminar, hao wanawake waume zao walolala na maids waliulizwa namna wanavyo wa treat maids wao?
Mwalimu wangu,
hili somo utalitungia mtihani?
Swala lililoko hapa sio H/G mshahara mdogo
Sijui Husband hatimiziwi mahitaji ya nyumba
Kwa kifupi maadili yamemomonyoka
baadhi ya wanaume wamekuwa macho juu juu kama ndege
hata umpe nini haridhiki
Hata umfanyie nini haridhiki
H/G ukikaa nae 4 month akaanza kuoga na kutakata kisha kuanza kupigiwa miluzi tu
Kazi inaanza anaanza kujiona mzuri ,na akishajua wanaume tu ndo atataka hata mmeo amjaribu
Anaanza kumfanyia visa ukiwa haupo ara kapita na kanga katoka kuoga
mara ajikalishe sitting room mikao ya ovyo
Na mengineyo
Kwa kifupi adabu imeporomoka...................:ban:
Mod acha mkwala ...
umeona enhh?
dawa yake mpe ugoro uyo