Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wake unaongeza nguvu za kiume.*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] hutakaa uwaone mpk unakufa.