Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Nikiomba pochi yako utanipa? Si utasema nataka nichunguze na simu yako nione kuna nini?..... Nadhani pochi ya mwanamke ina mengi na some privacy inatakiwa.... hautasema ni mapenzi utasema ninakuchunguza.

wasiwasi wenu tu.
Kuna mazingira ambayo mwanaume anahitajika kusaidia. Mfano kama mama ana mtoto mchanga na handbag.
Pia mnaogopa macho ya watu. Mi naweza nikakupa unisaidie lakini wewe ukahofu.