FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Moja...kukukatia tiketi ya Ndege,hamna mdada wa kisasa atakaekataa kupanda dreamliner kukufuata popote,kama upo Kahama(mji wa starehe, unamuomba muende Mwanza kwa Ndege usiende mbali kuokoa gharama,au kama upo bongo una fly to Zanzibar or Mafia(hapo lazima u-win)
Mwisho..kuachiwa simu ya kawaida yenye Mpesa kiasi cha laki mbili...unamwachia simu Hiyo ya Mpesa unampa na namba ya siri unmpa go ahead akijisikia kutoa atoe,baada ya week ukiomba urafiki lazima u-win hata mwanamke awe mgumu kama kisiki(huo huitwa uchawi wa kizungu)
Instagram: kaukwaju