FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
zitto junior naomba copy hapa hiyo namba 20 ili twende sawa
Bibie kuna tiketi ya dreamliner hapa dar to mwanza,fanya mpango tukale sato kule rocky cityzitto junior naomba copy hapa hiyo namba 20 ili twende sawa
π³πππ
Yaan nikatafute kitabu tena wakati wewe ulishasoma. We unaonekana shule ulikuwa mchoyo sana wa majibuModerator wa JamiiForums hii ihamishieni MMU huku iko misplaced!!! Kwanza mwanamke hatongozwi kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20 ukiitumia hyo hutowahi tongoza mwanamke na utawapata wa kutosha.
πππYaan nikatafute kitabu tena wakati wewe ulishasoma. We unaonekana shule ulikuwa mchoyo sana wa majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitabu hiki hapa kina madini sana na kipo applicable kila sehemu ila nataka uanze na law #20 maana toka nisome sikuwahi tongoza mwanamke bali unamjengea mazingira yeye ndio akutongoze wwe!!! Funny πzitto junior naomba copy hapa hiyo namba 20 ili twende sawa
Ntakutafuta unipe uzuri wa huko maana nmekuja mwanza cha kwanza nilichoambiwa ni hilo jina, hope nawe ni mhusika mzur ukoMgagaa na Upwa tunaenda jembe ni jembe kupata jembe fish